Tuesday, October 29, 2013

HII NI AJARI NYINGINE ILIYOTOKEA HUKO MKOANI MBEYA

 
Lori baada ya kupata ajali katika eneo la mlima wa Mzalendo Igawilo jijini Mbeya wakati likielekea jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya majeruhi katika ajali hiyo wakipelekwa hospitali

No comments:

Zilizosomwa zaidi