Tuesday, September 24, 2013

REDIO ZA JAMII ZASAIDIA KUKUZA DEMOKRASIA NCHINI...

IMG 6499 261d5
Mkurugenzi wa Uvinza Fm Ayubu Kalufya akimtambulisha Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mwl. Khadija Nyembo kwa Meneja wa Mradi wa Demokrasia na Amani kutoka UNESCO Courtney Ivins mara baada yakuwasili kwenye halfa ya kuzindua Mradi Wa UNESCO – UNDP wakuhamasisha Amani katika mchakato wa kukuza Demokrasia katika kipindihiki cha kuelekea uchaguzi mwaka 2015 uliofanyika kwenye Kituotarajiwa cha Redio ya Jamii Uvinza Fm Wilayani Uvinza
IMG 6502 3a70c
Mwenyekiti wa Bodi ya Uvinza Fm Nuru Kalufya (wa pili kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mwl. Khadija Nyembo mara baada ya kuwasili
IMG 6561 700e7
Mkurugenzi wa Uvinza Fm Ayubu Kalufya akitambulisha meza kuu kwa wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuzindua mradi wa UNESCO-UNDP wa kuhamasisha Amani katika mchakato wa kukuzaDemokrasia katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mwaka:chanzo Zainul Mzige (hd)

No comments: