Sunday, September 1, 2013

MAENDELEO WILAYA YA MAKETE UTATA MTUPU...


Katibu wa CCM wilaya ya Makete Miraji Mtaturu (kulia) akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya shule ya msingi Nkenja wilayani Makete, kushoto kwake ni mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Makete Francis Chaula

Viongozi wa CCm wilaya ya Makete wakikagua chumba cha darasa wanachosomea wanafunzi wa darasa la tatu na la nne kwa pamoja
 Katibu wa CCM wilaya ya makete Miraji Mtaturu, mwenyekiti Francis Chaula na diwani wa kata ya Kitulo Mbosa Tweve wakisikiliza maelezo kutoka kwa mkuu wa shule ya msingi Nkenja Hester Mahenge ofisini kwake
 Viongozi wa CCM wakikagua ujenzi wa madarasa unaodaiwa kusuasua, mwenyekiti wa CCM wilaya ya makete (katikati) akizungumzia ujenzi huo
  darasa wanalotumia wanafunzi wa darasa la kwanza  pili               kusomea
   Turubai linalotumika kama bati kwenye jengo hilo
 Vyumba viwili vya madarasa ambavyo vinafaa kwa matumizi shuleni hapo.

No comments:

Zilizosomwa zaidi