Friday, September 27, 2013

KUTOKA KWENYE UKURASA WA YANGA-FACEBOOK,HII NDIO TAARIFA MUHIMU KWA WATANZANIA

 Kiungo Mrisho Ngassa amelipa jumla ya TZS Milioni 45 kwa shirikisho la soka nchini TFF ikiwa ni sehemu ya malipo ya deni alilotakiwa kulipa ili aweze kuitumikia klabu yake ya Yanga

Ngassa amelipa deni hilo alilokuwa anadaiwa na klabu ya Simba Sc lililompelekea kukosa michezo sita na kulipa faini hiyo.

Baada ya leo kulipa deni hilo sasa Ngassa anaruhisiwa kuanza kuichezea timu yake.

Ngassa anatarajiwa kuanza kuonekana kesho uwanja wa Taifa katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting.

No comments: