Sunday, September 1, 2013

HUYU NDIO MCHUNGAJI AMBAYE HUFANYA MIKUTANO YA INJILI BILA KUHITAJI SADAKA.

Mhungaji OWUOR ndiye mchungaji pekee ambaye hataki SADAKA kutoka kwa watu anaowahubiri lakini hutumia pesa nyingi kuandaa mikutano yake.
Imesemekana kuwa Kwenye mikutano yake mingi huwashambulia wachungaji wapendapesa kupiti mgongo wa sadaka

Kwa mjibu wa Mchungaji Faustine Munishi,
OWUOR amekuwa akipokea misaada ya kifedha kutoka kwa wazungu na hivyo kumwezesha kufanya mikutano mikubwa sana nchini Nairobi na sehemu zote za nchi ya Kenya

No comments:

Zilizosomwa zaidi