Mmiliki wa club ya Liverpool, John W Henry ameendelea kuzuia suala la straika wa timu hiyo Luis Suarez kuuzwa kwa timu yoyote nchini uingereza, hivyo ataendelea kusalia kuichezea Liverpool katika msimu ujao.
Henry amesema mshambuiaji huyo machachari hawezi kuuzwa kwani ni muhimu sana katika timu hiyo
No comments:
Post a Comment