Thursday, August 29, 2013

41 WAFARIKI KATIKA AJARI YA BASI

accident-inside-29082013[1] Ajari ya basi imetokea hapo jana katika eneo la Ntulele kwenye njia itokayo Nairobi kuelekea Narok na kuua watu 41 na wengine 33 kujeruhika vibaya.
Majeruhi wamefikishwa katika hospitali na Narok na wengine hospitali ya Kijabe.
Ajari hii imetokea baada ya gari kupoteza dira na dereva kushindwa kulimudu na ndipo lilipoingi mtaroni na kusababisha vifo hivyo.
Afisa usalama wa barabarani Bw. Samuel Kimaru amethibitisha kutokea kwa ajari hiyo na vifo vya watu 41 na majeruhi 33.
Chanzo: standard digital news

No comments:

Zilizosomwa zaidi