Tukio hilo limetokea majira ya saa 8 mchana baada ya ya wanahabari kuzungukia maeneo hayo kushuhudia umati wa wananchi wakiendelea kumpa fedha mzee janja.
Friday, January 11, 2013
OMBAOMBA ALIEJIFANYA MLEMAVU ATIMUA MBIO BAADA YA KUGUNDULIKA SIO MLEMAVU
Leo mjini Iringa baada ya wananchi waliokuwepo eneo hilo kupigwa na butwaa baada ya mzee Janja ambaye amekuwa akishinda eneo la mjini na kujifanya mlemavu asiyekuwa na mkono mmoja na mguu mmoja kutimua mbio kukwepa kamera.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 8 mchana baada ya ya wanahabari kuzungukia maeneo hayo kushuhudia umati wa wananchi wakiendelea kumpa fedha mzee janja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
(Kutoka kwa Nathani)
-
MTU aliyepiga picha na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema akiwa amevalia sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (J...
-
Marekani imetoa ripoti inayozungumzia usafirishaji wa binadamu ya mwaka 2013, huku ikiitaja Tanzania kuwa kinara wa kunyanyasa wasichana...
-
Azam FC yatwaa kwa mara ya pili Kombe la Mapinduzi Azam FC imeweza kutetea kombe hilo na k u libakisha nchini katika mchezo ulitu...

No comments:
Post a Comment