Friday, December 14, 2012

USAFIRI WA TRENI SASA WAANZA KANDA YA ZIWA


Kuanzia tar 9. Dec usafiri kwa njia ya reli ulianza rasmi kuanzia Mwanza kuelekea Dar es salaam. Baada ya usafiri wa Tren kurejeshwa kwa wakazi wa kanda ya ziwa baada ya kusitishwa kwa muda mrefu, ni wazi kabisa wakazi wa jiji la Mwanza wameupokea kwa shangwe kabisa.

Hii ni baada ya wakazi wengi wa jiji hilo kufika kwa wingi katika Stesheni iliyopo jijini Mwanza kwa ajili ya kukata tiketi ili waweze kusafiri na Tren katika kipindi hiki cha sikuku za Chris mass na Mwaka mpya.
                                                                                                                                                              Baadhi ya abiri waliokuwepo Stesheni hapo,                 wamesema kurejeshwa kwa tren kanda ya ziwa ni Ukombozi tosha katika safari

















(Baadhi ya abiria wakikata tiketi katika stesheni Mwanza. picha Faraja Dogeje)

No comments:

Zilizosomwa zaidi