Monday, December 24, 2012
Tunapoelekea kwenye sikuku hizi za Chrismass na Mwaka mpya, tuendelee kuwakumbuka ndugu jamaa na marafiki tuliowapoteza katika kipindi cha mwaka mzima. Kuna ndugu tumewapoteza katika Mgomo wa Madaktari, ajari ya meli ya Skagik na ajari nyingi za barabarani. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipewa maelezo kwa kutumia mchoro kuon...
-
-
Wanahabari wataka uhuru zaidi wa habari: JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limependekeza Katiba mpya ijayo itambue uhuru wa vyombo vya ha...
-
Kajala Masanja. Pamoja na kutoa faini ya Sh. milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake wa filamu, Wema Isaac Sepetu, Kajala anat...
-
Abiria wakiwa tayali wameshuka katika Daladala baada ya kutoka maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma na kushushiwa Barabarani baada ya...
No comments:
Post a Comment