Helikopta zenye silaha za Umoja
wa Mataifa zimeshambulia maeneo ya wapiganaji mashariki mwa Jamhuri ya
Demokrasi ya Congo, huku mapambano yanaendelea baina ya jeshi la Congo
na kundi la wapiganaji wa M23.Monusco ina idhini ya kuwalinda raia na kuwasaidia wanajeshi wa serikali ikihitajika.
Hakuna idadi iliyotolewa ya maafa yaliyotokea.
Umoja wa Mataifa unazilaumu Rwanda na Uganda kwamba zinawaunga mkono wapiganaji - tuhuma ambazo nchi hizo inakanusha.
No comments:
Post a Comment