katika channel ya MTV kijana mdogo Hernandez
Chicharito alionekana mwenye furaha kwa kuelezea
hat-trick yake ya kwanza katika msimu mgumu wa
Primier League wakati timu yake ilipokutana na
Aston villa hapo jana wakati chicharito akitokea
benchi kuchukua nafasi ya Ashely Young na
kujipatia magoli matatu na kuhisaidia timu yake
kuibuka na ushindi wa 3-2.
No comments:
Post a Comment