AY ndio msanii pekee kutoka TANZANIA (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi Kenya wanaokwenda kwa jina la Sauti Sol.
Sunday, November 18, 2012
AY ASHIKILIA TUZO YA CHANEL O KWA AFRIKA MASHARIKI.
AY ndio msanii pekee kutoka TANZANIA (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi Kenya wanaokwenda kwa jina la Sauti Sol.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Dakika 90 za mchezo Simba Sc 0-0 Coastal Union
-
-
Arsenal v/s Tottenham Hotspur Liverpool v/s Wigan Athletic Manchester City v/s Aston Villa Newcastle United v/s Swansea City Queens Par...
-
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) ushirika wa Segerea limenusurika kuteketea kwa moto baada ya watu wasiojulikana kutu...
-
MGOMO mkubwa wa mabasi ya abiria umeitikisa nchi na kuilazimisha serikali kusitisha kwa muda amri yake ya kuwatoza...
No comments:
Post a Comment