RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi
jana alipanda kizimbani katika kesi ya wizi wa kuaminika wa Sh milioni
37.4 inayomkabili Abdallah Mzombe (39), ambaye alikuwa mfanyakazi wake
huku wanahabari wakizuiwa kusikiliza.

No comments:
Post a Comment