MAMLAKA
ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema mvua kubwa zilizotangazwa awali
zinatarajiwa kuanza leo katika mikoa ya ukanda wa pwani.Mamlaka
hiyo imetangaza hali ya hatari katika ukanda huo na kuwataka wananchi
kuondoka katika maeneo hatarishi ya mabondeni ambako maji hukutana.
Hivyo wakazi wa Dar es Salaam na kwingineko wamekuwa na hofu na mvua hizo kwa kuzihofia kutokana na kutangazwa mara kwa mara
Baadhi ya wakazi wa maeneo hayo tayari wameshamisha familia zao ili kukabilina na tatizo hilo
Hata hivyo hadi kufikia majira ya alasiri ya leo mvua hizo kwa mkoa wa Dar es salaam zilikuwa bado hazijaanza rasmi
Kwa
taarifa iliyoipata nifahamishe zimebaini kuwa, Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Said Meck Sadik ameshajipanga kwa kuweka mikakati kwa
kukabiliana na hatari hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
-
JESHI LA wananchi wa Tanzania (JWTZ), limetoa ufafanuzi kwa kusema kuwa askari wake aliyetoroka jeshini Luteni Kanali Celestine C. Seromba...
-
Baada ya vyombo vya usalama nchini Kenya kufanikiwa kuwaondoa wanamgambo wa Al shabaab ambao walivamia na kuliteka eneo la West Gate na ...
-
No comments:
Post a Comment