Wednesday, October 3, 2012
Hatimae Simba na Yanga nguvu sawa.
Baada ya mchezo uliochezwa hapo jana kumalizika timu zote zikiwa sare ya bao 1-1, utni wa jadi ndipo ulipodhihirika. Simba ndio likuwa ya kwanza kupaipachika goli timu ya Yanga na baadae katika kipindi cha pili Yanga wakajipatiaa penat iliyowapatia goli la kusawzisha. Goli la simba lilifungwa na Amri Kiemba wakati goli ya Yanga lilifungwa na Bahanuzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
-
1.AUSTIN MORRIS A-40 AUSTIN MORRIS A-40 Gari aina ya Austin Morris A-40 lilitengenezwa nchini Uingereza kati ya mwaka 1940 ...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufund...
-

No comments:
Post a Comment