Tuesday, September 11, 2012

Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernad Membe, amethibitishiwa mpaka sahihi kati ya Tanzania na Malawi katika ziwa Nyasa. Akiongea na wazee waishio mwambao mwa ziwa Nyasa wamesema kuwa mpaka upo katikati ya Ziwa Nyasa na wala sio katika upande wa Tanzania.

No comments:

Zilizosomwa zaidi