Tuesday, September 11, 2012

Watu 14 watajwa kwa tuhuma za kubomoa kontena bandarini katika yadi ya Kampuni ya Oryx na kuiba Madini vipande 19, Mafuta ya Petrol lita 360 na Disel lita 60. Jeshi la polisi mkoa wa Dar es salaam limethibitisha kuwajamata watu hao.

No comments:

Zilizosomwa zaidi