Friday, September 14, 2012

Wafanyabiashara katika eneo la mwenge jijini Dar, wameishukuru serikali ya mtaa kwa kushughulika na uondoaji wa Kontena la takataka lililokuwa limewekwa karibu na eneo la kufanyia biashara.

No comments:

Zilizosomwa zaidi