Friday, September 14, 2012

Serikali ya Tanzania imeweka mkakati wa kuimarisha bandari ya Kigoma ili kukuza wigo wa biashara kimataifa hasa kwa nchi DRC na Burundi. Imesemekana kuwa, bandari ya Kigoma ni bandari kubwa ambayo inaweza kuliongeza taifa pato kubwa kiuchumi lakini hali yake bado duni.

No comments:

Zilizosomwa zaidi