Friday, September 7, 2012

Mgomo wa walimu nchini Kenya unaendelea sasa ikiwa ni siku ya nne. Wakati mgomo huu unaendele wanafunzi wa darasa la nane waliokuwa wanatarajia kuanza mitihani, wamehakikishiwa na wizara ya elimu nchini humo kuwa mitiahani itaanza jumatatu ijayo

No comments:

Zilizosomwa zaidi