Saturday, August 25, 2012
Wakazi wa wilaya mpya ya Gairo mkoani Morogoro wakumbwa na tatizo la maji. Kutokana mabadiliko ya hali ya hewa pamoja na miundombinu mibovu, wilaya hiyo imekumbwa na tatizo hilo la maji tangu mwezi wa saba. Mpaka sasa wamejikuta kila familia inagawiwa ndoo kumi tu za maji ambazo familia husika itazitumia kwa kipindi cha mwezi mmoja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Roy Hodgson Kocha wa timu ya taifa ya Uingereza Roy Hudson amemuonya mshambuliaji wa Mancheter United Wyne Rooney kuwa kunahatar...
-
-
-
-
. . . … . . . . . . . . . . . . .
No comments:
Post a Comment