Monday, August 27, 2012

Kocha wa club Arsenal aanza kuliona pengo lililoachawa na kiungo Vern Persie aliyehamia club ya Manchester United. Hii ni baada ya kutoka suluhu katika mechi iliyochezwa jana kati ya Arsenal na Stoke City ambapo mchezo ulimalizika bila timu yoyote kuuona mlango wa mwenzake.

No comments: