Pages

Sunday, April 3, 2016

GARI LIMEUUNGUA NA KUUA DEREVA ENEO LA MBEZI BEACH DSM


Kuna Gari No T 598bel Toyota Landcruiser Imepata Ajali mda mfupi uliopita Maeneo Ya Mbezi Beach Africana,  Dereva Kaungua Hajafahamika Hata Kwa Sura, kwa sasa Gari Lipo Polisi Kawe.




No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.