Farajadogeje.blogspot.com

*Wasiliana nasi: Simu : 0713-914 416 , E-mail: fdogeje@gmail.com

Pages

  • Home
  • National/Local
  • Sports & Intertainment
  • Bussiness
  • Photos

TANGAZA NASI HAPA

TANGAZA NASI HAPA

Thursday, December 3, 2015

MAHAKAMA YAFUTA KESI YA LIPUMBA

Kesi iliyokuwa inamkabiri mwenyekiti wa zamani wa chama cha CUF Pro Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa CUF kwa kosa la kuandamana bila kibali, imefutwa leo hii katika Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam, Kesi hiyo ambayo ilikuwa isomwe Jan. 15.2016, ilirudishwa nyuma na kusikilizwa leo asubuhi ambapo maamuzi ya kufuta kesi hiyo yametolewa rasmi.

Posted by farajadogeje.blogspot.com at 12:33:00 AM
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Zilizosomwa zaidi

  • Matokeo ligi kuu Tanzania Simba Sc V/S Coastal Union
    Dakika 90 za mchezo Simba Sc 0-0 Coastal Union
  • HABARI KUBWA KWA MAGAZETI YA LEO JUMATATU 28 DEC 2015
  • MGOMO MKALI UMEENDESHWA LEO NA WABEBA MIZIGO BANDARI YA MWANZA.
    Bandari ya Mwanza Kaskazini na Kusini yachafuka ni kutokana na mgomo wa wafanyabiashara na watu wanaofanya shughuli za kubeba mizigo (...
  • Matokeo ya Barclays Premier League tar 20 haya hapa.
    Tottenham Hotspur 2- 4 Chelsea Fulham 1 - 0 Aston Villa Liverpool 1 - 0 Reading Manchester United 4 - 2 Stoke City Swansea City 2 - 1 W...
  • KIBONZO CHA LEO

Jiunge nasi katika facebook

BLOG YETU

BLOG YETU


Blog Archive

About Me

farajadogeje.blogspot.com
View my complete profile
faraja. Watermark theme. Powered by Blogger.