Kama wewe ni kijana ndio umemaliza chuo au upo mtaani unatafuta kazi na umeomba kazi mbalimbali halafu baadae ukapata ujumbe kama huu au unaofanana na huu kwa namna moja au nyingine Wapuuzie.. Usiwahusudu watu kama hawa, nin matapeli, Utatapeliwa bure pesa yako ya mkopo ukijipa tumaini kuwa utapata kazi kumbe hakuna. Mwenye macho, masikio na akili atazingatia lakini Mbulura na wasiojari atachukulia poa na kuyadharau haya..Tuesday, August 18, 2015
#TAHADHARI KWA WANAOTAFUTA KAZI
Kama wewe ni kijana ndio umemaliza chuo au upo mtaani unatafuta kazi na umeomba kazi mbalimbali halafu baadae ukapata ujumbe kama huu au unaofanana na huu kwa namna moja au nyingine Wapuuzie.. Usiwahusudu watu kama hawa, nin matapeli, Utatapeliwa bure pesa yako ya mkopo ukijipa tumaini kuwa utapata kazi kumbe hakuna. Mwenye macho, masikio na akili atazingatia lakini Mbulura na wasiojari atachukulia poa na kuyadharau haya..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Samahani kwa picha hizi Baadhi ya wanakijiji wa Korogwe wakiushangaa mwili wa mtu huyo ambaye jina lake halikuweza kuta...
-
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya kampuni tata ya kufua umeme ya Richmond, Edward Lowassa, aliweka masharti ya namna ya kupit...
-
(Mmoja wa ombaomba huko U.S.A) Sasa hali ya umaskini unaongezeka nchini marekani. Idadi ya watunanaopata chakula cha msaada imeongezek...
-
Mnyama Simmba Sports Club kuumana vikali na Coastal Union huko Tanga kuanzia mida ya saa kumi za jioni kwa Afrika Mashariki. Ni katika mc...
-
Rwanda imechaguliwa kuwa mjumbe wabaraza la usalama wa mataifa.
No comments:
Post a Comment