Baada ya tukio lililotokea juzi la majambazi
kuvamia kituo cha polisi wilayani Bukombe na kuua askari wawili, tayari
jeshi la polisi limeanza msako na kufanikiwa kukamata bunduki aina ya
SMG 8, Pump action 1 na mtuhumiwa mmoja mwenyeji wa Tanga.
Bado polisi wanaendelea na upelelezi na kuahidi kuwa Wote waliohusika
katika tukio hilo Watapatikana muda si mrefu kuanzia sasa. Toeni taarifa
kituo cha polisi kilicho karibu mara tu mnapomtilia mashaka mtu yeyote
unayemhisi au kuwa na wasiwasi naye.Sunday, September 7, 2014
POLISI WAKAMATA BUNDUKI 8 BAADA YA MAJAMBAZI KUTEKA KITUO CHA POLISI
Baada ya tukio lililotokea juzi la majambazi
kuvamia kituo cha polisi wilayani Bukombe na kuua askari wawili, tayari
jeshi la polisi limeanza msako na kufanikiwa kukamata bunduki aina ya
SMG 8, Pump action 1 na mtuhumiwa mmoja mwenyeji wa Tanga.
Bado polisi wanaendelea na upelelezi na kuahidi kuwa Wote waliohusika
katika tukio hilo Watapatikana muda si mrefu kuanzia sasa. Toeni taarifa
kituo cha polisi kilicho karibu mara tu mnapomtilia mashaka mtu yeyote
unayemhisi au kuwa na wasiwasi naye.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Kutokana na Manchester United kutofanya vizuri chini ya uongozi wake David Moyes hatimaye leo April 22 wamemtangaza Mchez...
-
"We have to fight until the end of the season. But we need to find more defensive stability."
-
Kocha mkuu wa timu ya Young Africans Sports Club, Mholanzi Ernie Brandts amesema ki...
-
Sote tunaweza kuwa maarufu, tunaweza kuwa chochote tunachotaka . Pamoja na hayo, jambo moja ambalo ni dhahiri itakuwa ni vigumu sana k...
-
Soko la kimataifa la mahindi Kibaigwa katika Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma kwa sasa ni jeupeee kuto...
No comments:
Post a Comment