Ajari mbaya ya Pikipiki
imetokea eneo la Mugoma jirani na njia ya kuingia kituo cha Polisi jana
Septemba07,2014 ,majira ya saa 11 jioni kwa kuhusisha pikipiki mbili ambapo Madereva wote baada ya Ajali kutokea walikuwa
katika hali mbaya na mmoja aliyefahamika kwa jina la Jofrey Bangwia kufariki
dunia na maziko yake yamefanyika leo Septemba 08,2014 mjini Mugoma huku
mwenzake akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Murgwanza.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.