Tuesday, May 13, 2014

TAHADHARI JUU YA UGONJWA WA DENGUE!!


Iwapo itatokea una kila dalili za homa ya dengue, dawa ya kukimbilia kwanza ni Panadol; inashauriwa usimeze KABISA Diclopar wala Diclofenac. Iwapo utameza dawa hizi, utakuwa kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha. Imetolewa na Wizara ya Afya!.
SHARE ujumbe huu na wenzako!

No comments: