Wednesday, May 14, 2014

KINANA AKIHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYANI NZEGA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishuka kutoka juu ya tanki, wakati akikagua mradi wa maji wa Itobo, wilayani Nzega, juzi alipokuwa akiendelea na ziara yake ya siku kumi katika mkoa wa Tabora, kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua.


Kinana akikagua chujio la maji la Mamlaka ya Majisafi Nzega mkoani Tabora, Pamoja naye ni Mbunge wa Nzega, Hamisi Kigwangala,  na anayempa maelezo ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi Nzega, Samweli Buyigi Mkurugenzi (kushoto).

Wanachama wa zamani na wapya wa CCM wakilakiapo cha utii wa CCM wakati wanachama wapya zaidi ya 85 walipokabidhiwa kadi za CCM.

No comments: