Hizi ni baadhi ya picha zinazoonesha
jinsi wananchi wa Tanzania wakivuka mto huo na wengine kuvushwa kwa malipo,
wakirudi Tanzania baada ya kufanya biashara upande wa Burundi.
|
Watu wote hao wakisubiri kuvushwa kwenye
mto huo Malagalasi,kwa kimtumbwi kimoja ama kubebwa kama baadhi ya picha
zinavyoonyesha.
|
Msanii wa kikundi cha ngoma za utamaduni
kutoka Burundi wakitumbuiza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa
Kibande, Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma.
|
No comments:
Post a Comment