Hivi
ndivyo Mbunge wa jimbo la Nzega mkoani Tabora Dkt Hamis
Kiwangala(mwenye shati jeupe) alivyokamatwa wakati wa maandamano ya
wachimbaji wadogo machimbo ya Mwashina wilayani Nzega mkoani Tabora,huku
wananchi wakikimbia hovyo kwani polisi walitumia mabomu ya machozi na
risasi za moto kuwatawanya.
 |
Polisi wakikabiliana na wachimbaji wadogo wa madini wilayaniNzega |
|
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.