Mabaki ya Lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto jioni hii
Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua jioni hii
Bonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa
Hii ni njia ya mlima sekenke
Haya ni mabaki ya mwili wa mmoja ya watu walikuwam kwenye Lori hiloo
Moto ukimalizikia kwa mbaliii kama inavyoonekana
Lori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke
mkoani singida na kuua watu wanne hapohapo.Chanz cha ajali hiyo ni breki
kufeli kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo.Shuhda
wa ajali hiyo bwana Julius chacha alipoongea na mtandao wetu wa Dj sek
blog amesema kwamba Lori hilo lilipoacha njia lilipinduka na kuingia
bondeni na kushika moto.Akiendelea kuongea shuhda huyo alisema
walishindwa kutoa msaada wowote kwa kwa moto uliposhika ulikuwa mkubwa
na hawakuwa na vifaa vya kuokolea.Watu wanne wamekuufa papo hapo
kutokana na ajali hiyo.Polisi walikuwa bado hawajafika eneoo la tukio
mpaka tunaondoka eneo la tukio.
No comments:
Post a Comment