*Wasiliana nasi: Simu : 0713-914 416 , E-mail: fdogeje@gmail.com
Pages
Home
National/Local
Sports & Intertainment
Bussiness
Photos
TANGAZA NASI HAPA
Monday, February 10, 2014
BREAKING NEWS:MAGARI ZAIDI YA 3000 YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUZUIA BARABARA
Hii ndio hali halisi inavyoonekana malori yakiwa yamekwama katikati ya barabara
Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita.
Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la hedaru
Maroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na mafuriko ya maji.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
BAADHI YA PICHA ALIZOZIWEKA MASANJA KWA FACEBOOK.
Dk Ulimboka awaambia Watanzania wasiwe na wasiwasi juu yake, "siku inakuja ambapo nitaweka mambo yote hadharani" Kauli hii ameitoa hapo jana alipokuwa akiongea na wandishi wa habari jijini Dar kwani maswali mengi yalihusu lini atawaweka bayana Watanzania.
KESI YA KAJALA KUANZA UPYA.....
Kajala Masanja. Pamoja na kutoa faini ya Sh. milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake wa filamu, Wema Isaac Sepetu, Kajala anat...
P0LISI 16 WASHIKILIWA KWA MAGENDO JIJINI DAR
Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, imewakamata askari wake 16 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kushiriki na kupo...
ISOME HAPA STORI YA MAJAMBAZI WALIOANGUSHA MFUKO WENYE MAMILIONI YA PESA KWENYE ENEO LA MAKABURI JIJINI DAR
Katika usiku wa kuamkia jana majambazi waliangusha mfuko wa mamilioni ya fedha na simu mbili makaburini wakati wakiwakimbia polisi baada y...
No comments:
Post a Comment