KUTOKA KWENYE UKURASA WA YANGA-FACEBOOK,HII NDIO TAARIFA MUHIMU KWA WATANZANIA
Kiungo
Mrisho Ngassa amelipa jumla ya TZS Milioni 45 kwa shirikisho la soka
nchini TFF ikiwa ni sehemu ya malipo ya deni alilotakiwa kulipa ili
aweze kuitumikia klabu yake ya Yanga
Ngassa amelipa deni hilo alilokuwa anadaiwa na klabu ya Simba Sc lililompelekea kukosa michezo sita na kulipa faini hiyo.
Baada ya leo kulipa deni hilo sasa Ngassa anaruhisiwa kuanza kuichezea timu yake.
Ngassa anatarajiwa kuanza kuonekana kesho uwanja wa Taifa katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.