
Baada ya Diamond kutoa wimbo wake mpya wa Number one ambao kwa sasa ni
gumzo, kila mahali kwenye sherehe ama harusi watu wanacheza staili
aliyocheza diamond kwenye huo wimbo ambayo yeye mwenyewe anaiita Gololo
....Hii naitabiria itakuwa staili kubwa ya kucheza kama ilivyokuwa
AZONTO ya Kutoka west Africa.
No comments:
Post a Comment