Saturday, August 17, 2013

WATU 18 WAMEUAWA KATIKA SHAMBULIZI HUKO KASKAZINI MASHARIKI MWA SYRIA

Tukio hilo limetokea baada ya askari wa kundi la kijeshi la Al-Qaeda kuushambulia mji wa Kurdish uliopo katika eneo la Ras al-ain kaskazini mashariki mwa Syria.
 

No comments: