Imebainika kuwa mkoa wa Shinyanga unaongoza kwa ndoa za utotoni kwa asilimia 59 ukifuatiwa na mkoa wa Mara ambao ndoa za utotoni ni asilimia 55 kwa Tanzania.
Chanzo cha ndoa hizo za utotoni ni kutokana na wazazi wengi katika mikoa ya Shinyanga na Mara huwaposa watoto wao mapema iwezekanavyo ili waweze kujipatia ng'ombe pesa kwa ajili ya shughuli zao mbalimbali zikiwemo za kilimo na ufugaji.
Kukithiri kwa ndoa hizi za utotoni kumesababisha kupungua kwa idadi ya watoto wanaokwenda shule kwa kipindi cha hivi karibuni kwani wazazi wengi wanaamini kuwa wanapoteza pesa na mda kwa watoto wao wa kike kwakuwapeleka shule.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Kutokana na Manchester United kutofanya vizuri chini ya uongozi wake David Moyes hatimaye leo April 22 wamemtangaza Mchez...
-
"We have to fight until the end of the season. But we need to find more defensive stability."
-
Sote tunaweza kuwa maarufu, tunaweza kuwa chochote tunachotaka . Pamoja na hayo, jambo moja ambalo ni dhahiri itakuwa ni vigumu sana k...
-
Soko la kimataifa la mahindi Kibaigwa katika Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma kwa sasa ni jeupeee kuto...
-
Basi la smart likiwa limepinduka eneo la Lugoba Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo akiwa amepoteza fahamu baada ya kupata mshtuko ...
No comments:
Post a Comment