Sheikh Ponda arijeruhiwa
Jumamosi iliyopita akiwa katika mhadhara wa Kiislamu huko mkoani
Morogoro. Baada ya kujeruhiwa Ponda alilazwa katika hospitali ya Taifa
Muhimbili kabla ya kuhamishiwa katika Taasisi ya Mifupa (MOI)
aliposomewa mashitaka. Kesi yake itaendelea pindi atakapopata nafuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Karibuni tena Dodoma Waheshimiwa Wajumbe wa Bunge Maalum la kutunga Katiba ya nchi yetu. Sote tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyez...
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
Utangulizi Ndugu wananchi; Naomba nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema, kwa kutujalia uzima na kutuwezesha ...
-
1 Tukio la tetemeko: Tarehe 10/09/2016 saa 9 na dakika 27 mchana kumetokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Kitovu cha teteme...
-
Tume ya Mabadiliko ya Katiba imeongeza siku mbili za kupiga kura ya kuchagua wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya, zoezi ambalo awali ...
No comments:
Post a Comment