Majeruhi wamefikishwa katika hospitali na Narok na wengine hospitali ya Kijabe.
Ajari hii imetokea baada ya gari kupoteza dira na dereva kushindwa kulimudu na ndipo lilipoingi mtaroni na kusababisha vifo hivyo.
Afisa usalama wa barabarani Bw. Samuel Kimaru amethibitisha kutokea kwa ajari hiyo na vifo vya watu 41 na majeruhi 33.
Chanzo: standard digital news
No comments:
Post a Comment