ya kuwa wanawake wamepewa fursa za wazi kabisa kisheria katika
kumiliki ardhi, bado umiliki wa ardhi ni mdogo sana nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo wakati wa semina ya Chama Cha Wanawake
nchini (TAWLA) juu ya umiliki wa ardhi kwa wanawake na uwekezaji
iliyofanyika jijini Dar es salaam.
Naibu waziri huyo amesema kutokana na muamko mdogo wa wanawake
kumiliki ardhi kwa kiasi cha juu, ndio kunawafanya washindwe kutumia
fursa za kisheria za kumiliki ardhi.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.