Mtoto mwenye umri wa miaka saba mwenye ulemavu wa ngozi (albinism) nchini Kenya amefanikiwa kumtoroka mjomba wake pamoja na ndugu zake waliokuwa wamemteka ili wamuuze kwa ajili ya kujipatia fedha. Mtoto huyo aliwatoroka kwakuruka kupitia kwa dirisha la gari alipokuwa anapelekwa kuuzwa na hivyo kuponea chupuchupu.
No comments:
Post a Comment