Basi la Makwizi lililokuwa likitokea Nata wilayani Serengeti mkoani Mara, lenye namba za usajili T961 AGP
limepata ajali mbaya leo katika eneo la Nyamongolo nje kidogo ya jiji la
Mwanza, mara baada ya kugongana na Tipa la mchanga lenye namba za usajili T 971
BYJ na kusababisha ajali hiyo iliyopelekea watu wawili kufariki dunia (wote
walikuwa kwenye tipa) na abiria mmoja aliyekuwa amekaa mbele kushoto kwa dereva
kwenye bus hilo, Dereva wa gari hilo amevunjika miguu na amefikishwa katika Hospitali
ya Rufaa Bugando.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.