JAYDEE AENDELEA NA SAFARI MLIMA KILIMANJARO...PICHA ZOTE ZIKO HAPA
Ni siku ya nne SASA katika safari ya Lady Jaydee na mume wake Gadner
kuupanda Mlima Kilimanjaro. Kwa mujibu wa picha kutoka kwenye blog ya
kilidovetour wanaiongoza safari hiyo, wote wanaonekana kuwa fiti wasiokuwa na hata chembe moja ya kurudi nyuma.
No comments:
Post a Comment