Tunapoelekea kwenye sikuku hizi za Chrismass na Mwaka mpya, tuendelee kuwakumbuka ndugu jamaa na marafiki tuliowapoteza katika kipindi cha mwaka mzima. Kuna ndugu tumewapoteza katika Mgomo wa Madaktari, ajari ya meli ya Skagik na ajari nyingi za barabarani. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Afrika
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.