Dereva akikutwa na makosa ataikabili adhabu kali pamoja na kifungo cha maisha.
Madereva wa mabasi ya abiria, yaani matatu,
wamekuwa wakigoma tangu Alhamisi mjini Nairobi na kwengineko, kulalamika
juu ya sheria hiyo.
Wengi wanasema kuwa hawamudu faini kubwa.
Lakini serikali imeazimia kupunguza vifo vinavyotokana na ajari za barabarani.
Mwaka uliopita Wakenya zaidi ya 3,000 wamekufa kwenye ajali za barabarani.
No comments:
Post a Comment