Mbunge wa jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, John Mnyika, hatimaye ameshinda rufaa ya kupinga ushindi wake wa Ubunge katika jimbo hilo.Hiyo ni baada ya aliyekuwa mpinzani wake kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Hawa Nghumbi(CCM) aliyekata rufaa dhidi ya matokeo ya ushindi wa Mnyika kuondoa rufaa yake siku ya jana. Friday, December 7, 2012
MNYIKA SASA HURU
Mbunge wa jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, John Mnyika, hatimaye ameshinda rufaa ya kupinga ushindi wake wa Ubunge katika jimbo hilo.Hiyo ni baada ya aliyekuwa mpinzani wake kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Hawa Nghumbi(CCM) aliyekata rufaa dhidi ya matokeo ya ushindi wa Mnyika kuondoa rufaa yake siku ya jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Ashindwa kutetea kiti Mara
-
Waethiopia waendelea na mbio ndefu
-
ORODHA YA WALIOCHAGULIWA AWAMU YA PILI KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA CHETI MWAKA 2012 ( 249.92 kB ) ORODHA YA WALIOCHAGULI...
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
12:45 Manchester United v Arsenal 15:00 Fulham v Everton 15:00 Norwich City v Stoke City 15:00 Sunderland v Aston Villa 15:00 Swansea C...
No comments:
Post a Comment