Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. John
Nkolo (aliyesimama) akijitambulisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe.
Magesa Mulongo wakati Wajumbe wa Tume hiyo walipokwenda kujitambulisha
kwake kabla ya tayari ya kuanza kazi ya ukusanyaji wa maoni ya wananchi
kuhusu Katiba Mpya katika Mkoa huo. Wajumbe wengine ni Bw. Abubakari
Ali, Bw. Ussi Ali na Bi. Mwantumu Malale.
Sunday, November 18, 2012
TUME YA MABADILIKO YA KATIBA IMETUA ARUSHA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Wakati Serikali ikiahidi kuboresha elimu nchini kwa kuhakikisha inaajiri walim...
-
Wote tunafahamu kuwa aliyekuwa gavana wa benki kuu ya Tanzania Daudi Balali alifariki dunia tarehe 16.05.2008 huko Boston, Mareka...
-
-
Raisi wa zamani wa Afrika kusini Nelson Mandela, anendelea kupata matibabu katika ugonjwa wake wa mapafu. Kwa sasa Mandela ana umri w...
-
Amiri Jeshi mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru akiwa kwenye gar...
No comments:
Post a Comment