Lakini Kenya iliweza kuchukua hatua sawia na hii mwezi Oktoba na kuzima simu za zaidi ya watu milioni moja.
Thursday, November 1, 2012
KUZIMA SIMU BANDIA UGANDA HADI MWAKANI
.
Uganda imeamua kusitisha mipango yake ya kuzima simu bandia hadi tarehe moja mwezi Julai mwaka 2013.
Hatua ya serikali inayolenga kuzuia simu bandia
kutumika katika mitandao ya simu nchini humo ilikuwa imepangiwa
kuafikiwa mwishoni mwa mwezi huu.
Lakini Kenya iliweza kuchukua hatua sawia na hii mwezi Oktoba na kuzima simu za zaidi ya watu milioni moja.
Lakini Kenya iliweza kuchukua hatua sawia na hii mwezi Oktoba na kuzima simu za zaidi ya watu milioni moja.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimehadharisha walaji wa nyama ya nguruwe nchini, kuwa wanakabiliwa na hatari ya kupata kifa...
-
Rais wa Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Sheni (kulia) akimtunuku Dkt.Salim Ahmed Salim nishani ya Mapinduzi ya Za...
-
-
KUSHUKA kwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli, kumepata taswira mpya jijini Dar es Salaam kwa jinsi mafuta hayo, yanavyoendelea kuwa ke...
-
Kesi iliyokuwa inamkabiri mwenyekiti wa zamani wa chama cha CUF Pro Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa CUF kwa kosa la kuandamana bila...
No comments:
Post a Comment