TCRA
yawatoa hofu wenye TV zenye matumbo:MAMLAKA ya Mawasiliano (TCRA)
imewataka Watanzania waepuke uvumi wa watu wachache wanaodai kuwa TV za
zamani hazitapokea matangazo ya mfumo wa digitali kwa kuwa hata zenye
migongo zina uwezo sawa wa kupokea matangazo hayo.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.